$500 kuhudhuria party ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Habari waungwana,Msanii asiyeishiwa skendo Tanzania Baba Nyllan au Baba Makabila(Diamond Platnumz) anatarajia kafanya party kubwa hapo Juma Pili kwa kingiilio cha Dola za marekani 500 kwa tiketi moja,Na Tiketi zigawiwa kwa salam sk meneja wake kwa Sisi tusiokuwa na mapene tutaichungulia kwa instagram na JF Pekee. Hongera wenye PESA Kama hizo kuingia kwa party hiyo.
 
Mh kweli usawa wa baba jeska unatuhusu wachache.party ni siku ngapi?au ni lisiku limoja?
 
Umeonaaa eeh afu bado wanataka wapunguziw bei huko kwa dolla 500
Yeas Brother,
We speak the sama language dude.

Hapo lazima watu wakodishe cruise na bei zake ni ndefu.

Kiufupi ni pesa ndogo na jamaa lazima aingie mfukoni
 
Ama kweli "pesa sio matako" kwamba kila mtu anazo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…