$500 kuhudhuria party ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

Mpoooooo?!
Kwa mara Ingine tena Mwanangu Domo Diamond PLATNUMZ amekuja kivingine tena

Anatuambia ana birthday Party ANAFANYA kwenye Boat j2 hii Tar 7 Oktoba 2018

Lakini Pati hiyo utalipia DOLA 500 kwa mtu mmoja ambayo NI sawa na Tsh 1,140,500 kwa rate ya Leo inayosoma DOLA 1 NI Tsh 2281...

Yani nikalipie DOLA 500 kwenda kwenye Birthday party ya Domo kwa kipi hasa ambacho kitanihamasisha labda? !

Iyo DOLA 500 nikiongezea DOLA 400 si bora nikawalipe TCRA wasinifungie YouTube channel yangu nijue moja tu kuliko kwenda kumlipa Domo mwisho was siku unakuja kuambiwa amezaa na Binti yake Penny..
Ahahahahha uuuwi J2 naandaa simu ijae Charge mana Snapchat na Instagram ya YouTube mambo yatakuwa NI motoooo

Risiti kamili hapa kwa pica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…