Hujui? Yote hayo yalifanikishwa na mkewe rais. Ilikuwa ni project yake akiwa kwenye commitee ya kufanikisha IAAF U-18 World Championship Nairobi 2017. Ana majukumu yake na bajeti yake chini ya Office of The First Lady. Lucy Kibaki alikuwa na The State House Choir,sijui saa hii wako wapi? Hehe!