Kiongozi, zaidi ya robo tatu ya maeneo ya barabarani hayana wafugaji wenye ulazima wa kuvusha mifugo barabarani lakini pia sijasema zitolewe kwa asilimia 100%. Nakujulisha tu kuwa nimefanyia utafiti kabla ya kuandikaNg'ombe na mbuzi nao watapita juu ya vivuko? Ukiachana na Binadamu kuna wanyama hayo maeneo na wafugaji ni wengi. Safiri usiku tu.
Hii ya usiku nayo imekaa vizuri kama ni mzoefu na hauna usingizi, maana changamoto ya usiku huwa ni kumulikana tu,hivyo usipokuwa mzoefu na njia unaweza kukuta gari iko juu ya mti.Ng'ombe na mbuzi nao watapita juu ya vivuko? Ukiachana na Binadamu kuna wanyama hayo maeneo na wafugaji ni wengi. Safiri usiku tu.