51% share in business for sale

51% share in business for sale

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari wadau;

Biashara inauzwa 51%

Atakayenunua atakuwa mmiliki kwa asilimai 51%

Kwanza hii sio biashara kubwa in terms of assets and cashflow kwa sababu ya namna ya uendeshaji wake ila kwa kuwa huyu mnunuaji atakuwa part owner na 50% ya gharama za mauzo itakuwa reinvested kwenye biashara.

Biashara inahusika na shuguli anuai za aina tano.Lengo la kutaka kuuza huu umiliki ni ili kuisajili na kuirasimisha kabisa ikiwa ni pamoja na kulipa kodi ili tuweze kufanya kazi kubwa.

Mnunuzi atakuwa majority shareholder,ila kwa kuwa muuzaji ataingiza 50% ya bei ya mauzo kwenye mtaji kunaweza kuwa na mabadiliko kidogo ya ownership structure kutegemea na maongezi.

Offer Price ya Mauzo inaanzia shilingi milioni tatu na kundelea.Gharama inaweza kupanda na kushuka kutegemea na maongezi na makubaliano

Karibuni
 
Sijaluelewa mkuu. Biashara hiyo ni ya kusafarisha wwhamiaji haramu, bangi ama heroin. Umeshindwa kabisa kuitaja
 
Sijaluelewa mkuu. Biashara hiyo ni ya kusafarisha wwhamiaji haramu, bangi ama heroin. Umeshindwa kabisa kuitaja
Karibu PM kwa maelezo ya ziada
 
mkuu kutaja bidhaa mtu apate kujua nn knafanyka inakua vzur zaid tofaut na hvo
 
Yaani unatafuta partner halafu unaogopa kuweka wazi ni biashara gani... Haya
 
Hapa hamna biashara aisee, sasa hapa nitavutiwa na nini ili nishawishike kukufuata huko pm?
 
Back
Top Bottom