kellis anavuta 55k a month kwa ajili ya mtoto
kwa hili wanawake mmezidisha, hii sio chuna buzi bali kula mbuzi
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=prvEyPaNzGo[/ame]
Hii kitu ya siku nyingi sasa na nafikiri tulishaijadili hadi humu ndani ya JF. Ilitoka mara tu bibie Kelis Naseeb alipojifungua mtoto huku akiwa kajipiga talaka.