Nyumba yenye vyumba.5 vyenye ukubwa wa wastani
Samaritan asante kwa ushauri wa busara. Ila kiwanja kipo tayari
nitafutie nami kiwanja huko mbeya best naitaji sana nami nianze ujenzi huko
Mkuu kwani ujenzi wa nyumba ni tofali tu? ila kama unataka kujenga nyumba iliyokamilika kwa maana finishing ni vyema ukatambua vifaa vingi vya finishing ni ghalama huko mikoani kwani asilimia kubwa vinatokea dar so ghalama za usafirishaji hufanya vikifika huko ghalama kuwa kubwa kuliko dar. Nahisi kwa nyumba unayifikiria wewe huko mbeya ni rahisi kuijenga ukiwa dar pia.Najua si rahisi Dar kujenga nyumba kwa mil.5. Naomba kujua kama hela naweza kujenga nyumba ya kawaida Mbeya. Matofali ya kuchoma
uko serious mdada?
kama ndio niambie kwa p.m.