Jamani hii kali yaani kuwa wholesaler ni 5million tsh au distributor ni 10million tshs just for only one product of Manji Biscuits?
Wazalendo itakuwa ngumu kuendelea jamani, nilifikiri angewakusanya machinga na kuwapa ajira through mitaji yao midogodogo ili wajiendeleze kupitia kusambaza hizo biskuti, hayo ni maoni yangu wadau mnaonaje haya mambo?
Ukipiga simu namba 2865351 utapata maelezo yao