Afadhali nna wifi mjanja....wifi nimekusikia. kitoweo chenyewe kioga! hata sijakikamata kimezimia. mi nataka nichinje mwenyeewe nipate kisusio kabisaa. sasa sipiyuu atakufa kabla hajalamba kisu,lol. nakimbia
Akitokea anaependezwa na nnaeona kinamfaa ntasukumizia hata kwa lazima....!Kususa ususe mwenyewe, kukiachia kiende hutaki . . . . Khaaaa!
Afadhali nna wifi mjanja....
Mmoja tu unaemfaa...kwani unagawanyika mpaka wawe wangapi?Ahhh mi nawasiliana na baba nikiwa hapa hapa sihitaji kuunganishwa!Utawafanyia hivi wangapi? Mbona yatakushinda??!!!Kwanza umeenda kanisani leo??Mi mwenzako sijaenda, nina ruhusa ya shetani . . . lolz
Mwanaume!HehehehehShetani wa mwanamke ni . . . .
Haya asante!Im out!ndio ruhusa za shetani hizi . . . .
Ningekushauri kama una lengo la kuwasaidia watu ungeandika kwa lugha inayoeleweka kwa watu wengi na kwa ufasaha!
Kwa kweli nowadays watu wanadates for the sake of dating, na hii inatokana na uhalisia kwamba mahusiano mengi hayampi mtu kile anachotaka,utakuta mmoja yuko in love mwingine kafata kitu fulani pale, mwingine kaona umri unaenda hivo hana jinsi ya kufanya ni kujishikiza popote tu ili mradi na yyeye awe na family yake. kwa kweli hii hupelekea mahali pabaya sana kwenye mahusiano, na hapo cheating inakuwa kubwa kuliko unavyofikiri
Ni kujitambua tu mkuu unless matatizo yataendelea kujirudia kila siku.... unajua bora mpendane mapenzi ya dhati then hata mkipata matatizo ndani ya uhusiano kama mlipendana kwa dhati ni rahisi kuya solv na kuanza upyaHalafu baadae inakuja WANAWAKE WA SIKU HIZI HAWANA MAPENZI YA KWELI
Au utasikia WANAUME WA SIKU HIZI WAONGO SANA, ATAKUONGOPEAAAAAA NA MIMBA JUU THEN ANAKUACHA