I had a crush on somebody kipindi hicho chuo duh yule kaka sijui hata ila nilikua nikimsikia hata sauti yake tu moyo unalipuka huo, nikimuona sasa ndiyo kabisaa afu alikua na zile sifa zenyewe aisee. Ila sikuwahi kumwambia kabisa ilibaki siri yangu tu.