60 computers have been stolen at Sokoine University


sasa powersupply ya ibm ikifa utaipata wapi au hiyo compaq ? Moja kwa moja hupati labda uagize kutoka huko huko na itakuwa gharama sana ungekuwa na clone then powersupply yake ziko mjini zimejaa tele , unaweza kutengeneza clone pc ikawa fast kuliko unavyotegemea wewe , nyingi za cafe wanatumia cytrix mainboard ambazo ni sawa na p3 tu
 
Naona jamaa wameshafungua internet cafe hapo mji kasoro bahari.
 
kwahiyo ni heri wasiwe nazo kabisa? Hao walioiba spare wataizoa wapi? Ama mzee ni umeshiriki wizi huo, maana jana kulikuwa na thread ikionyesha wewe hujihusisha na hayo mambo?

wengi wanaoiba sio watumiaji wa hizi nao wanaenda kuuza au utakuta ni prof mmoja amefanya mambo anapeleka nyumbani kwake na kwa ndugu zake na mingi utakuta imerundikwa tu haifanyi kazi wala nini tusitake kudanganyana

ushorombo sijui uko dunia ya ngapi shuke hapo mjini dar es salaam nenda katika maduka ya computer halafu angalia mali zilizozokwepo halafu fananisha na hiyo mada hapo juu nakupa mfano wa maduka


- mitsumi
- qprint
- prince
-mzizima
-orchards
-vista ( ubungo )
-quantium ( op haidery plaza )
- alpha ( hidery plaza )
- comptronix ( samora ila laptop zao nyingi za wizi na vingi ni second hand wanaosha tu )
-ideal computers ( morogoro road )

lionchina computers ( kisutu ) hapo ndio utakuta hizo p3 ingawa sasa wameshazimalima maliza
 



Kwani unadhani kuna haja ya ku-replace motherboard ya PIV kama ikifa? How often does the motherboard dies anyway? HDD pia hazifi haraka, na ikifa hakuna haja ya kununua mpya. Hiyo machine itawekwa pembeni vifaa vyake (motherboard, RAM, Power supply, Fans, CPU, Keyboard) vitumike ku-repair machine nyingine ikifa.

Kwenye RAM ni tofauti. Kwa umeme wetu ulivyo, RAM inaweza kufa hata kabla mwaka haujaisha.




.
 


watanzania ndivyo mlivyo sasa kama huyo ni client wako ndio utamweleza hivyo ? Moja ikifa vifaa vyake vitengeneze ingine ? Hiyo ni chuo kikobusy wanahitaji kufanya kazi muda wote na wakati wowote

wewe vipi bwana kama huna la kusema kaa kimya
 


A Blessing in Disguise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…