RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
Sisi huku Malinyi Toka juzi asbh tumepata[emoji91][emoji91][emoji91]Leo serikali imelipa mishahara, Chakushangaza zaidi ya 60% ya watumishi wa Halmashauri ya msalala mkoani Shinyanga hawajapata mishahara.
Sijajua shida Nini, maana wengine asubui na mapema wamelipwa.
Vipi kwenye halmashauri Yako?
SawaBado ujasema mpaka useme nyie si mnakimbia pepmis....
HongeraSisi huku Malinyi Toka juzi asbh tumepata[emoji91][emoji91][emoji91]
Hali mbayaHata huku kwetu watu wa NMB hawajapata pesa
Mshahara wa mamaBado bila bilaaaa
Wewe sio mlipaji unawezaje kujua idadi Yao, ACHA uchonganishiLeo serikali imelipa mishahara, Chakushangaza zaidi ya 60% ya watumishi wa Halmashauri ya msalala mkoani Shinyanga hawajapata mishahara.
Sijajua shida Nini, maana wengine asubui na mapema wamelipwa.
Vipi kwenye halmashauri Yako?
Sawa mkuuHuwa nashindwa kuelelwa pale mtumishi wa umma mshahara unachelellwa siku 2,3 anaanza kupiga mayowe mtaa mzima sasa najiuliza kama una
Kiu ya kuupata hivyo baada ya siku 7 si hiyo pesa itakuwa imekuishia?
Ifike mahali mtumishi wa umma ukicheleweshewa mshahara Maisha yaende kama kawaida
Do you know who am iWewe sio mlipaji unawezaje kujua idadi Yao, ACHA uchonganishi
So ma polisi, Nesi, Jeshi,watenfaji na madereva, hawaendi ATM?😁Jana nimepita ATM nikakuta foleni ya kutosha, kumbe walimu mshapata mshahara!
So ma polisi, Nesi, Jeshi,watenfaji na madereva, hawaendi ATM?[emoji16]