60 year old marries 25 year old - Photos

lol WoS,

Hapo nimeelewa hivi,
1. Uko married tayari,
2. hauko married kwa sasa ila ulishawahi kuwa married,
3.Umri wako wa kuolewa bado,
4. Huna interest kabisa na mambo ya kuolewa.

sasa hapo kipi ni kipi my dear...thinking aloud as well

HAHAHAH
IM trying to put your signature message into practical use.......
just keep thinking aloud....
 
Pesa sabuni ya roho jamani! Hilo halina ubishi. Binti mrembo kama huyo ameishia kuolewa na mtu mwenye umri sawa na babu yake!

Wakati mwingine ni pesa na mwingine ni mapenzi.Hamna njia ya kuweza kujua kwa uhakika nani kaoa au kaolewa kwasababu ipi so DON'T JUDGE.
 
ni jeuri ya pesa kwa kikongwee...na kwelii atamuuaaa kwa pressure soon.....na lazima atakuja kumshindwa tu...ila ni mtoto mzuri sanna .....huyuu ni babu yake kabisa.....akienda kwa wakwe zake anakuta yeye mkwe ana umri mkubwa kuliko wazaa chema....duuu pesa hizi hayaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…