61.3% of Kenyans own houses in which they stay.

Haha sasa ufanyiwe figisu na nan ilhali ardhi ni yako? Cheki unavyojifunga mwnyw... Kenya ardhi ipo chini ya wenyewe usifikir unadanganya mtoto hapa.
Unaongelea mashamba gani wewe...khee!!
Mi naongelea irrigation schemes, wanaoyasimamia ndio hawana ukwel...

Na km ni kuhusu mashamab ya watu binafsi mbna ya tele jomba...tembea ujionee ukwel wa mambo, acha kukaa vijiweni utapotoshwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha sasa ufanyiwe figisu na nan ilhali ardhi ni yako? Cheki unavyojifunga mwnyw... Kenya ardhi ipo chini ya wenyewe usifikir unadanganya mtoto hapa.
Bwahahaa!!mwenyewe kivipi na wakati hku ukinunua ardhi ni yako milele..
Sio km nyie hko ukitaka umiliki wa hati lazima ukodi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kelele tu unapiga coz tunaijua hiyo nchi vzr sana
 
Si mlime sasa...au nyie ni wavivu..... Hadi anayenyanganywa ardhi anawazidi... See how fool you are
Kwn unafikiria kila mtu ana mawazo km yako...
Ndio manake mnarundikana uswazi dar kisa mnatoroka kulima mihogo vijijini..

Yani mtanzania hana mawazo kabisa, asipoajiriwa serekalini basi hana mawazo mengine zaidi ya ukulima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie msio na mawazo ya ukulima mmefikia wap katika kujitegemea kwa basic needs kama chakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…