Taarifa ya NBS imeonesha wanawake wenye utayari wa kupata chanjo ya UVIKO ni wengi zaidi kuliko wanaume. Ambapo 63% ya wanawake ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo wakati ni 53% tu ya wanaume ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo.
Kwenye upande wa maeneo watu wa Zanzibar wameonesha utayari zaidi kuliko watu wa Tanzania Bara.