???

???

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,812
Reaction score
1,373
jamani kuna mtu kaniambia kuwa eti mbali na walimu wa shahada serikal pia haijaajiri walimu wote wa cheti na diploma.kama ni kweli naomba kujua?..
 
jamani kuna mtu kaniambia kuwa eti mbali na walimu wa shahada serikal pia haijaajiri walimu wote wa cheti na diploma.kama ni kweli naomba kujua?..

sio kweli mkuu! ila kuna baadhi ya wahitimu kwa baadhi ya vyuo kutokana na vyuo kutotuma majina kwa wakati walimu hawajapangwa. ila sio wengi
 
Back
Top Bottom