Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,812 Reaction score 1,373 Mar 30, 2014 #1 jamani kuna mtu kaniambia kuwa eti mbali na walimu wa shahada serikal pia haijaajiri walimu wote wa cheti na diploma.kama ni kweli naomba kujua?..
jamani kuna mtu kaniambia kuwa eti mbali na walimu wa shahada serikal pia haijaajiri walimu wote wa cheti na diploma.kama ni kweli naomba kujua?..
J J'MWA Member Joined Nov 1, 2013 Posts 51 Reaction score 5 Mar 30, 2014 #2 Wazo la kabwela said: jamani kuna mtu kaniambia kuwa eti mbali na walimu wa shahada serikal pia haijaajiri walimu wote wa cheti na diploma.kama ni kweli naomba kujua?.. Click to expand... sio kweli mkuu! ila kuna baadhi ya wahitimu kwa baadhi ya vyuo kutokana na vyuo kutotuma majina kwa wakati walimu hawajapangwa. ila sio wengi
Wazo la kabwela said: jamani kuna mtu kaniambia kuwa eti mbali na walimu wa shahada serikal pia haijaajiri walimu wote wa cheti na diploma.kama ni kweli naomba kujua?.. Click to expand... sio kweli mkuu! ila kuna baadhi ya wahitimu kwa baadhi ya vyuo kutokana na vyuo kutotuma majina kwa wakati walimu hawajapangwa. ila sio wengi