6324 watakiwa kufanya marekebisho katika fomu zao za maombi ya mkopo heslb.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
Kama ambavyo imeshatolewa post na muhusika mmoja hapa JF,hiyo ndio idadi sahihi ya wanaopaswa kufanya marekebisho hayo na nimepost baada ya kuona ka ubishani fulani hapa jamvini.
 
website yao ina virus trojan - haifunguki hadi ufanye ujasiri wa ku disable antivirus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…