Nimejaribu kubadilisha na kuweka Isaac Hayes kwenye heading toka jana lakini maajabu ni kwamba haitaki...I mean thread heading imegomea marekebisho ninayojaribu kuyafanya.
Isaac Hayes atakumbukwa sana kwa utunzi wake wa nyimbo za uhakika....Alikuwa ni singer na song writer maarufu...Pia kwenye ushiriki wake kwenye movies maarufu ya SHAFT
Pia atakumbukwa sana kwenye ushiriki wake katika katuni maarufu sana ya SOUTH PARK.