6ix9ine avunja rekodi ya EMINEM ya video iliyoangaliwa kwa wingi ndani ya siku moja.

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
2,820
Reaction score
2,758
Wakuu takashi amevunja rekodi iliyowekwa na rapa Eminem kwenye wimbo wake Kill Shot
NB:Nimefuhia ujio wa rainbow boy,na namuombea wabaya wake washindwe.
You Mad Coz Am Back...
 
Attachments

  • Screenshot_20200509-234053_Instagram.jpg
    85.6 KB · Views: 4
69 the snitch RIP tulikupenda ila soon wajuba watakupenda zaid
 
Hongera zake...

Jamaa katengenezwa kwa ajili ya ku-influence watoto na kuwapoteza...

Watoto hupenda rangi rangi...

Cc: mahondaw
 
Wakuu takashi amevunja rekodi iliyowekwa na rapa Eminem kwenye wimbo wake Kill Shot
NB:Nimefuhia ujio wa rainbow boy,na namuombea wabaya wake washindwe.
You Mad Coz Am Back...
DOgo ana rangi kibao za kishoga shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…