6ix9ine avunja rekodi ya EMINEM ya video iliyoangaliwa kwa wingi ndani ya siku moja.

Nipeni historia yake kidogo maana hata simjui
 
Sijui kwanini black community inaunga sana mkono crime, yani jamaa anapondwa kwa kuwataja wenzake waliokuwa wanafanya uharifu.
Na mbaya zaidi wanaua, wanateka wanaiba, madawa wanauwauzia hao hao ma black.
 
Huyu bwege amebebwa na lockdown na kiki ya kutoka jela. Huwezi linganisha Eminem na utopolo wa aina hii. Ngoma yake ninayoikubali ni Tic Toc akimshirikisha Lil Baby kwenye album ya Dummy Boy.
 
Reactions: amu

Wana inferiority complex,wanaamin wakifanya crime itawafanya wajione wamekamilika,wagumu na mashababi
 
Huyu bwege amebebwa na lockdown na kiki ya kutoka jela. Huwezi linganisha Eminem na utopolo wa aina hii. Ngoma yake ninayoikubali ni Tic Toc akimshirikisha Lil Baby kwenye album ya Dummy Boy.
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…