7 percent ya Mass. marriages, inatisha!

Saikosisi

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2007
Posts
528
Reaction score
34
Kazi kweli kweli!

source http://news.yahoo.com/s/ap/20090509/ap_on_re_us/us_gay_marriage_five_years
 

The world as we know it has come to an end!!!

Marriage between a man and a woman is no longer sacred. It was preordained by the Almighty God and now it has morphed into a new thing..eti gay marriage!!!! Ole wangu! jamani Jesus come back soon!!! Amen.

Man and woman were created to compliment each other.
 
Kuna mji unaitwa Brighton UK ukifikaufukweni wakatiwa summer utakayoyaona kama huna moyo na kifua utakuwa na mawengewenge siku zote za maisha yako humu duniani. Maana afadhalia SODOMA ya katika Biblia Hapa S. O. D. M. A. Kila kitu live ufukweni bila hiana wala kinyaa. Mbaya zaidi a kina weusi wa A frika wamegundua ni biashara poa utakuta tetracycline kila kona ya ufukwe watu wakijambos!!! MAN 2 MAN!!! Makazini ni bora umseme vibaya mtu yeyote lakini asiwe ****** Kibarua kinaota majani dakika hiyohiyo!!! na ikiwezekana mahakamania then kifungo. They are protected na wa na power kwelikweli.
 

Paster inaonekana hizi khabari zinakufurahisha mno, inaonekana unaweza ukakaa kutwa nzima kwenye google kutafuta habari kama hizi..! Na ziada, nadhani unaandika haya huku udenda ukikutoka..bua ha ha ha ha..
 
Ingawa yanayotokea ni machafu lakini wamaanisha nini the world has come to an end?! Acha hizo.
Na soon, how soon is soon?
 

Harafu mambo haya ya gays marriage mbona yapo kwenye dini fulani tu...!? Kuna tatizo gani huko!?
 
...its all good,haki kwa wote,mtake msitake gays/lesbian ni part of our society kuanzia vibaka mpaka Drs ndani yake kuna gays/lesbian,historically huwezi kuwanyima watu haki zao milele,kubalini tuu nao ni binadamu tuu kama nyinyi na wengine ndugu zenu na rafiki zenu wa karibu sana na muanze kuwakubali na kuishi nao vizuri,sioni ajabu yeyote ya huu ukandamizaji mana hata katiba ya US ilikuwa inamwona mtu mweusi kama half a human being ndio maana hakuwa na haki yeyote na wengi waliamini hivyo kwa miaka mingi sana na sababu ni hizo hizo mnazotumia sasa,anyway mtake msitake mtakubali tuu maana hamna choice
 

NYARALEGO,
Oh my GOD!
The real situation is shocking.
What should we do?
 
Oh my GOD!
The real situation is shocking.
What should we do?

Exaud, there is nothing new to shock you,vitu vipo hivi bwana na mwisho wa siku kila mtu na maisha yake. Iga ufe, ha ha..
If you don't believe in marriage with an opposite sex, then marry the same sex person and see if its working. I'm sure, siku ziendavyo itatufikia tu bara letu incase bado!..
 


Kimachotakiwa ni namna ya kutibu hili gonjwa! Believe me homosexuality ni ugonjwa unaitaji kutibiwa na wala si kusema wananyimwa haki kwa kukataliwa wasifanye mambo yao hadharani. Hivi unataka kabisa utu-convince twende kwenye sherehe ya Mashoga wanafunga ndoa duh ndugu yangu, kemea mambo hayo usiwaige wamarekani wao walishachanganyikiwa siku nyingi kama una habari.
 

BELINDA,
Mimi nadhani mtindo huu wa marriage with same sex ni dalili za kwenda kinyume na maumbile ya Mwenyezi Mungu.
Its realy shocking me madam.
 
BELINDA,
Mimi nadhani mtindo huu wa marriage with same sex ni dalili za kwenda kinyume na maumbile ya Mwenyezi Mungu.
Its realy shocking me madam.

Najua inawezekana kwako ni kama ndoto then you have to wake up and face the reality ndo utaelewa kwanini siyo kitu cha kushock. Sitetei wala kupinga ila kwavile ni hali halisi basi ndo hivyo tena vitu vipo na utaviona vingi tu.
Pia kutokana na maadili ya kiafrika esp.Tanzania, siyo rahisi watu kuonyesha hadharani kuwa ni wasagaji/mashoga.
Ila kwa US, idadi inazidi kuongezeka. Like I said kila mtu na maisha yake!..
Hapo nimebold maneno yako,nahisi umekosea ama sijakupata!Mwenyezi Mungu ana maumbile?
 
...........................Mwenyezi Mungu ana maumbile?

BELINDA,
Sorry, nilichomaanisha ni kwamba, Mungu alimuumba binadamu na kumaanisha marriage iwe kwa opposite sex.Hayo ndo maumbile niliyozungumzia.
Its realy shocking my dear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…