Hapa Bongo haya mambo yapo,au tumewasahau akina Aunt Moody,Aunt Kessy na wengineo, vipi nyumba nthobu kule Tarime vipi? Tofauti na kwa wenzetu huko ni publicity ya jambo lenyewe. Huku ni aibu kwa mhusika na familia yote lakini huko ughaibuni ni haki za binadamu.
Sijafika Marekani lakini kijiweni jamaa huwa anatupa story eti mtoto mdogo ukimnyima ruhusa kwenda disco basi anakupeleka polisi. Mambo ya maadili na haki za binadamu zinatofautiana toka jamii moja na jamii nyingine.
Vipi hiyo Sodoma ikifanywa kule Iran?