75% ya warangi wote tanzania wapo ngarenaro arusha.

75% ya warangi wote tanzania wapo ngarenaro arusha.

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
396
Reaction score
374
Aisee kwakweli hawa ndugu zetu warangi wameukimbia kabisa mji wao wa Kondoa na wamekuja kujazana Arusha katika eneo la Ngarenaro, Eneo hili la ngarenaro limejaa warangi na ukifika Ngarenaro leo unaweza ukahisi uko Kondoa.

Sasa nachoshangaa mm ni kwamba kwann warangi wakimbilie arusha tu na kujazana ngarenaro na si mikoa mingine na hata hapa arusha kwanini isiwe mitaa mingine ya Arusha iwe ngarenaro tu.

Na biashara zao kubwa hapa ni kukaanga vichwa na miguu ya kuku, na samaki wa dogo wajulikanao kama wajasiliamali, jamani watani zangu warangi rudini Kondoa mkaujenge mji wenu.
 
Acha hizo wewe. Wengi sana tupo Dar, Tanga, mwanza mpaka shinga. Takwimu zako si sahihi. Wengi hapo kilombero wamshughulika na vitunguu vya mangola. Wengi ni maustadh wa misikiti ya Arusha ungalimited sommbetini nk. Rekebisha tafadhali. Changu changu kani wamanyire kilangi.
 
Si kweli we huja tembea ndo ukajua kuwa warangi wako pande gani na gani,unao waona hapo ni wa hapo hapo sikuhizi hakuanaga tena watu wanatoka na kumbilia mijini kama mwanzo,
 
Waulize halafu njoo utwambia watakavyokujibu.
Nalog off
 
Acha hizo wewe. Wengi sana tupo Dar, Tanga, mwanza mpaka shinga. Takwimu zako si sahihi. Wengi hapo kilombero wamshughulika na vitunguu vya mangola. Wengi ni maustadh wa misikiti ya Arusha ungalimited sommbetini nk. Rekebisha tafadhali. Changu changu kani wamanyire kilangi.

Mukulu joli mumwari uko
 
Halafu nasikia wachawi balaaa.
Bora wajirundike hapo Ngarenaro walogane wao kwa wao.
 
Aisee kwakweli hawa ndugu zetu warangi wameukimbia kabisa mji wao wa Kondoa na wamekuja kujazana Arusha katika eneo la Ngarenaro, Eneo hili la ngarenaro limejaa warangi na ukifika Ngarenaro leo unaweza ukahisi uko Kondoa.sasa nachoshangaa mm ni kwamba kwann warangi wakimbilie arusha tu na kujazana ngarenaro na si mikoa mingine na hata hapa arusha kwanini isiwe mitaa mingine ya Arusha iwe ngarenaro tu. na biashara zao kubwa hapa ni kukaanga vichwa na miguu ya kuku, na samaki wa dogo wajulikanao kama wajasiliamali, jamani watani zangu warangi rudini Kondoa mkaujengge mji wenu.

nyege zimekupanda kichwani lete takwimu ...no research no right to talk...hujitambui unaleta story za saluni?????? nyamafu we w
 
Back
Top Bottom