NairobiWalker JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 14,267 Reaction score 14,890 Mar 1, 2018 #1 Kila siku tunapigiwa humu kelele ati ooh, wanatulisha ooh, tunapanda maua badala ya mahindi. Hivi wewe unaweza lisha jirani wakati wanao hawana chakula? Ndio hiyo Tanzania ya shibe sasa. Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials UN World Food Programme
Kila siku tunapigiwa humu kelele ati ooh, wanatulisha ooh, tunapanda maua badala ya mahindi. Hivi wewe unaweza lisha jirani wakati wanao hawana chakula? Ndio hiyo Tanzania ya shibe sasa. Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials UN World Food Programme