Mujahedeens have resumed the mission, expect more Kenyan KDF militia gonna be fvcked off.Doesn't matter, that is part of war tactics, the ultimate goal is to kill the enemy. The true of the matter is KDF is losing so many solders and there is nor hope that this will stop soon.
Then an idiot says ati Al Shabaab tukishindwa tunaeza TZ kweli... Akili muhimu kwake... Hao wasee experience ni noma kwao. Then fighting terrorists ni ngumu. You can't differentiate a terrorist from a normal citizen but fighting another country, you both got uniforms. Hapo tutawanyorosha ile mbaya. Then wanishow kwa battlefield penye KDF ilishindwa, fighting one on oneJeshi lao halina experience yoyote ya kupigana vita vya kigaidi, wakienda Somalia itakua maskitiko makubwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] and you'll hear nyang'aus are bragging of kdf as super army in east Africa.TPDF can defeat KDF without even put their boots in Kenya territory. Remembe TPDF has J-7, which is a new generation model of MIG-21, with very advances chinese made radar, this J-7 can carry lesser guided air to air, and air to surface missiles. These crafts can attain maximum speed of 2, 200Km/hr, they can just shoot down all F-5 old model Kenya fighter jets made in 1950s with maximum speed of only 1700Km/hr, which can't use modern missiles, with very poor radar.
Jeshi letu limepigana Afrika nzima, tena dhidi ya majeshi yenye nguvu kuliko yote Africa na bado tumeshinda vita vyote tulivyokwenda. Ninyi Somalia mpo nchi tano na lakini kila siku mnauliwa, bure kabisa jeshi lenu.Jeshi lao halina experience yoyote ya kupigana vita vya kigaidi, wakienda Somalia itakua maskitiko makubwa sana
Acha uongo, Alshabaab ni jeshi kabisa lenye uniform na wameshika eneo maalumu, wana silaha za kivita yakiwemo magari ya kivita waliyoteka toka kwa KDF na Burundi walipovamia kambi zao, mnashindwa kuwafuata katika ngome zao, badala yake wanawafuata ninyi katika kambi zenu.Then an idiot says ati Al Shabaab tukishindwa tunaeza TZ kweli... Akili muhimu kwake... Hao wasee experience ni noma kwao. Then fighting terrorists ni ngumu. You can't differentiate a terrorist from a normal citizen but fighting another country, you both got uniforms. Hapo tutawanyorosha ile mbaya. Then wanishow kwa battlefield penye KDF ilishindwa, fighting one on one
Hell no! u r on ur own big middle income fella! tulipopigana Uganda mlituangalia hivihivi n mkakataa kuacha kumuuzia Idd Amini mafuta na mkaendelea kumpitishia silaha Mombasa.Hawajielewi... EA ni country yao tu haikutuma military Somalia.. Kama Burundi inatuma. Hao wasee military yao ni display tu.. Haina uwezo
.Britain also tried to influence Kenya to reduce the flow of oil products to Uganda. But Kenya preferred to keep its neutrality
IED tunaeza pimanish na suicide bombers.. Pelekeni jeshi lenu Somalia tuwaaminieAcha uongo, Alshabaab ni jeshi kabisa lenye uniform na wameshika eneo maalumu, wana silaha za kivita yakiwemo magari ya kivita waliyoteka toka kwa KDF na Burundi walipovamia kambi zao, mnashindwa kuwafuata katika ngome zao, badala yake wanawafuata ninyi katika kambi zenu.
Haipiti miezi utasikia Bad News! 11 KDF brave commandos have dead in kisimayu while in the heavy battle against 1000 armed Alshabab militias, wakati walikuwa wanalangua mkaa porini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jeshi letu limepigana Afrika nzima, tena dhidi ya majeshi yenye nguvu kuliko yote Africa na bado tumeshinda vita vyote tulivyokwenda. Ninyi Somalia mpo nchi tano na lakini kila siku mnauliwa, bure kabisa jeshi lenu.
Ahsante kwa kumkaba huyo nyang'au alitaka kudanganya hapa, alishabab wana kambi zao, na ni jeshi kabisa lenye magwanda yake, waseme tu KDF is weaker compared to mujahedeensAcha uongo, Alshabaab ni jeshi kabisa lenye uniform na wameshika eneo maalumu, wana silaha za kivita yakiwemo magari ya kivita waliyoteka toka kwa KDF na Burundi walipovamia kambi zao, mnashindwa kuwafuata katika ngome zao, badala yake wanawafuata ninyi katika kambi zenu.
Pelekeni TPDF display Somalia tuwachekiAhsante kwa kumkaba huyo nyang'au alitaka kudanganya hapa, alishabab wana kambi zao, na ni jeshi kabisa lenye magwanda yake, waseme tu KDF is weaker compared to mujahedeens
Acha kusema kwamba Alshabaab wanachanganyika ma watu kwa hiyo mnashindwa kupigana, sio kweli hata kidogo. Kiukweli ni kwamba KDF hawana uzoefu wa vita, hii ndiyo vita ya kwanza kupigana, kinachotokea ni kwamba udhaifu mkubwa umeonekana kwamba KDF is not Army for war, ni jeshi la maonyesho katika uwanja wa Kasarani wakati wa sherehe za kitaifa.IED tunaeza pimanish na suicide bombers.. Pelekeni jeshi lenu Somalia tuwaaminie
Kwanza inafaa utambue tumepunguza nguvu ya al shabaab Somalia. Then town kubwa kama Kismayu tumewatoa na towns nyingine nyingi sana .. Success ni kibao budaAcha kusema kwamba Alshabaab wanachanganyika ma watu kwa hiyo mnashindwa kupigana, sio kweli hata kidogo. Kiukweli ni kwamba KDF hawana uzoefu wa vita, hii ndiyo vita ya kwanza kupigana, kinachotokea ni kwamba udhaifu mkubwa umeonekana kwamba KDF is not Army for war, ni jeshi la maonyesho katika uwanja wa Kasarani wakati wa sherehe za kitaifa.
A fool like u will try to convince ur ego liberation fightings where Tanzania was the center piece no landmines where used in Mozambique n Angola.Ukijaribu ku engage na mtu ambaye hata hajui maana ya IED ni nini utaumiza kichwa bure.
Mpaka sasa hakuna jeshi ambalo limefanyikiwa kumudu ied attacks, hata ukiwa ndani ya APC, bado impact yake inakuvunja shingo, that pick up had no chance!
Alafu tukiongeza bajeti kununua vifaa vya kisasa Kama ground penetrating radar, jamaa hawa hawa wanarudi kupiga kelele
In a span of 8 years, 1st world army (America) lost 6,800 soldiers, 50-75% of these died by IED blasts, and then some 900,000 soldiers were either disabled or emotionally lost it, they spent some $190Billion! Treating these injured soldiers. Nchi Kama Tz ikienda Somalia wiki moja uchumi wa tz unaanguka!
6,845 Americans Died and 900,000 Were Injured in Iraq and Afghanistan. Say 'No' to Obama's War. | HuffPost
Kwanza inafaa utambue tumepunguza nguvu ya al shabaab Somalia. Then town kubwa kama Kismayu tumewatoa na towns nyingine nyingi sana .. Success ni kibao budaAcha kusema kwamba Alshabaab wanachanganyika ma watu kwa hiyo mnashindwa kupigana, sio kweli hata kidogo. Kiukweli ni kwamba KDF hawana uzoefu wa vita, hii ndiyo vita ya kwanza kupigana, kinachotokea ni kwamba udhaifu mkubwa umeonekana kwamba KDF is not Army for war, ni jeshi la maonyesho katika uwanja wa Kasarani wakati wa sherehe za kitaifa.
Somalia ina zaidi ya wanajeshi elfu 20,000 kitoka nchi mbalimbali, Kenya ilipojipeleka Somalia, walikuta Uganda ilishakomboa Mogadishi na Burundi wamekomboa baadhi ya maeneo, kule North, Ethiopia walishawafukuza Alshabab, kwahiyo Alshabaab walikwisha poyeza nguvu nyingi kutokana na kipigo walochopata toka kwa nchi mlizozikuta, walibakiwa na Kismayu na baadhi ya maeneo ya kusini, ila walikuwa tayari wamepunguzwa nguvu, ndiyo sababu hata Kenya ilipokomboa Kismayu hapakuwa na mapigano yoyote, Alshababu waliondoka kwasababu hawakuwa na nguvu tena ya kupigana.Kwanza inafaa utambue tumepunguza nguvu ya al shabaab Somalia. Then town kubwa kama Kismayu tumewatoa na towns nyingine nyingi sana .. Success ni kibao buda
Nyie legs legs tu msizugeee eti kujiona wajanjaaaThen an idiot says ati Al Shabaab tukishindwa tunaeza TZ kweli... Akili muhimu kwake... Hao wasee experience ni noma kwao. Then fighting terrorists ni ngumu. You can't differentiate a terrorist from a normal citizen but fighting another country, you both got uniforms. Hapo tutawanyorosha ile mbaya. Then wanishow kwa battlefield penye KDF ilishindwa, fighting one on one
Ethiopia, Nchi yenye haikukoloniwa na yeyote! Nchi yenye 3rd most powerful army in Africa after Egypt na SA, nchi yenye ilipewa hadhi ya AU HQ,..imekimbia Somali, not once but twice! In 2005, na last year.... Nyinyi ambao kazi yenu ilikua ni kusuply chakula Kwa majeshi ya Africa ndo mnataka kupiga domo....Jeshi letu limepigana Afrika nzima, tena dhidi ya majeshi yenye nguvu kuliko yote Africa na bado tumeshinda vita vyote tulivyokwenda. Ninyi Somalia mpo nchi tano na lakini kila siku mnauliwa, bure kabisa jeshi lenu.
Sisi ni nchi yenye kujitambua sio ninyi mnaoongozwa na wavuta bhangi wasiojua nini wanataka maishani, katika nchi zilizochaguliwa na AU kupeleka jeshi Somalia, Kenya kamwe haikuwepo, ninyi mlikwenda Somalia ili kulinda maslahi ya Kenya baada ya hao Alshabaab kuanza kuvuka mpaka na kuteka watalii, kwa hiyo acha kujifanya mlienda kama wana East Africa, mbona sisi tuliposhambuliwa na Idd Amin tulipigana peke yetu na ninyi Kenya bado mkaendela kushirikiana na Idd Amin kwa kupitisha bidhaa zake zikiwamo silaha kupitia bandari ya Mombasa?.Ethiopia, Nchi yenye haikukoloniwa na yeyote! Nchi yenye 3rd most powerful army in Africa after Egypt na SA, nchi yenye ilipewa hadhi ya AU HQ,..imekimbia Somali, not once but twice! In 2005, na last year....
Wacheni kelele nyingi, ingizeni vijana Somalia Kama wana East Africa wenzenu tuone vile mtajinyelea kwa misitu, unafikiri wayangs wa maji maji rebelion watawasaidia kukwepa mabomu yaliyotegwa Kwa barabara
Tulipo maliza maslahi yetu, tukajiunga na AU, meseveni alikua Analilia UN iongeze majeshi ... Kwa mfano US Kule Afganistan ilituma hadi wanajeshiSisi ni nchi yenye kujitambua sio ninyi mnaoongozwa na wavuta bhangi wasiojua nini wanataka maishani, katika nchi zilizochaguliwa na AU kupeleka jeshi Somalia, Kenya kamwe haikuwepo, ninyi mlikwenda Somalia ili kulinda maslahi ya Kenya baada ya hao Alshabaab kuanza kuvuka mpaka na kuteka watalii, kwa hiyo acha kujifanya mlienda kama wana East Africa, mbona sisi tuliposhambuliwa na Idd Amin tulipigana peke yetu na ninyi Kenya bado mkaendela kushirikiana na Idd Amin kwa kupitisha bidhaa zake zikiwamo silaha kupitia bandari ya Mombasa?.