50 kph kwa maeneo ya miji na 80 kph kwa highway kwa magari makubwa. Nikiangalia dunia ya leo na maendeleo ya teknolojia hasa upande wa braking teknolojia tuna abs systems. Disc brakes etc. Etc hivyo stoping power imekua ya hali. Wadau nahisi tukiweka hata angalau 120 kph as maxmum on highways na 70 kph as maxmum around town. Nadhan bado tutakua salama.
Note.
Tusiangalie speed kama chanzo pekee cha ajali....
Note.
Tusiangalie speed kama chanzo pekee cha ajali....