80% ya wanawake huangaliwa kwa nyuma na wanaume wanapopita hasa makalio

sasa hii 80% ilipatikanaje Mh. rais.....hoja inawezekana ina mashiko ila njio gani imekufikisha kwenye 80%sasa utashangaa, wale wa siasa kali hapa watakunanga mpaka basiIla raha ya kondoo......
Kaizer, thamani ya kondoo = Mkia, pia nyumba ni choo, Thanks
 
kwa kweriii, pare nyuma pare ni pazuri sana katika kureta ham ya kurenga!!
unanifanya niwahi kutoka ofsini nimwahi mama bhoke reo!
 
kwani nikiwa mwembamba ndo nakuwa sina?
na wanene wote wana wowoowoooo?

mi mwembambaaaaaaaaaaa km nani sjui lakin apa nyuma nimebeba ngumi 9 za tayson !!!!
usije kwetu manake kaka zangu watakuzonga sana ukinikosa home kama ndivyo ulivyo
 
uo mtikisiko ndo ntauficha sasa na ungo..stak mie kuangaliwa!!!!
Rose ukiangaliwa na wanaume ni bahati ya pekee, maana unaita, kumbuka Adam alipoletewa Hawa alirukaruka sana, bila shaka alimwangalia nyuma pia, na hiyo ni nature lazima uangaliwe Rose wangu, ni gift adimu that is what makes life goes on & on & on dada yangu
 
Hamni oni tena nafunga gunia kuanzia sasa..mmmhhhh
 
Kila mwanaume au mwanamke anavigezo vyake vya kupendea so hapo naona hujatenda haki kwa kusema 80%..
Najivua Gamba ... mie vigezo vyangu haviangalii hiyo kitu unayotamka..
siamini
ukiwa mdada umefungasha tena wala sio sana kiivyo lazima upindue shingo za wakaka
 

et enhh?
basi ntajifunika na net si ungo tena au?:wof:!!!
 
usije kwetu manake kaka zangu watakuzonga sana ukinikosa home kama ndivyo ulivyo

tena ntavizia sku aupo ili nimkute kakako ...tena namtaka yule 1st bon...nikija mbwembwe nyiiiiiing kaka martna yuko wap jaman...ehhh amesahau kuosha ivi vyombo jaman...ngoja nimsaidie ili akija tuondoke tu..sasa apo karon ntakapokuwa nasugua sufuria ndo ataijua abari yake...kila kiungo kitakuwa kimeshiriki kusugua sufuria...:A S-baby:
 
Hamni oni tena nafunga gunia kuanzia sasa..mmmhhhh
AD experienced man like me, hata ufunike vipi, najua mzigo uleeeee, so we vaa vizuri tu dada yangu, we men tunaojua tuna an eagle eye kuhusu kuangalia, nguo zipo tu as a formality, nikirusha tu jicho nakwambia mzigo uleeeeeee, wallaahi sikosei, mzigo uleeeeee
 
kwani wanakukpunguzia nini wape raha in case wewe sio mwembamba
Marytina, thanks, nikwambie kitu, kama upo Dar, waangalie wanawake siku hizi hata wenye heshima, WANAKUFUNGIA KANGA MOJA au suruali au skate rojorojooo, utasahau njia ukiwa mwanaume usiye weza jicontrol, au unaendesha gari utapaki bure sehemu isiyo ruhusiwa
 
asante kwa taarifa....skuizi ntakuwa natembea na ungo..nikiona nataka kupishana na wanaume basi najifunika na ungo pale nyuma...

Wazo zuri ila angalia Ungo wenyewe usiwe umetoboka.
 
Heheee!
Mambo ya inye ndembendembe, hebu mtujuze kaka zetu na mashemeji zetu
Kumbe ndo hivyo!ndo maana wengine tukipita mitaana hata huoni mtu anageuka
 
Mhhh...., lakini thinking about it kama kwapa ni kichaka nadhani watu wataliangalia kwa kulishangaa kulishangaa

ahha labda utamadun wetu ndo uo kwapa chafu ,kunuka kibeberu dili basi wwatanuiangalioa kimatamanio...uku mimi ful kudeka..:israel:
 

Wazo zuri ila angalia Ungo wenyewe usiwe umetoboka.

aasante kwa angalizo..ntanunua ungo mzito,mkubwa na imara...uweze kufanya kazi husika kwa utimamu wake...thaxx once agaiin:caked:
 

Sijui ni kwa vile the nicest Entertainment area imewekwa karibu the most sewege discharging area?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…