Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Ukosefu wa ajira Tanzania (unemployment rate) umesababisha zaidi ya watu 80% kutokuwa wanalipa kodi ya mapato ya PAYE. na mbali na hayo wengi wa walioajiliwa wameajiliwa katika group la watu wa Lowa income erners ambao wame kuwa exempted PAYE kutokana na kazi zao kama mamesenger, wafagia vyoo, porters kuwa na elimu ndogo. serikali haijafanya jitihada zozote tokea tupate uhuru wa kupambana na hali hiyo ili kiwango cha wasiolipa PAYE kipunguwe.
hasara tuipatayo kuwa na watu wengi wasiolipa PAYE ni kubwa sana kiasi kwamba serikali kwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru haijawahi kabisaa kupelekea huduma muhimu kwa wananchi kama vile maji safi, nyumba bora, kuboresha shule za misingi na kujenga maktaba/. shule nyingi za misingi zina vyoo vya shimo na zemezekwa nyasi halafu zime katika makazi ya watu wasiolipa PAYE, wewe unategemea nini hapo?
watanzania, ujio huu wa Raisi wa marekani hapa nchini lazima tuutumie vizuri sana. mkazo ni kuiomba marekani ifanye investment za anguvu sana haswaa huko mikoani kuliko na absentees PAYE wengi sana. hali tuliyokuwa nayo sisi ndiyo hali waliyokuwa nayo Vietnama mwaka 1973. sasa hivi vietnam hawana absentees PAYE wengi na unemploynet rate yao ni 10% kulinganisga na sisi 85%. hii yote kwa sababu marekani kawekeza sana viwanda huko vietnam.
watanzania tujihadhali sana na watanzania wanaotumiwa na serikali za IRan na saudi Arabia kuandika matusi kwa taifa la marekani katika magazeti yetu. hawa watanzania wako tayari wao walipwe milioni za pesa kuridhisha haja za waarabu huko mashariki ya kati kuliko kuhangaika kuwaokoa watanznaia wenzano wasiojua hata PAYE inalipwaje.