85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

Kwa watu wa biashara za online unatakiwa uwe na iPhone Pro max yenye maximum storage, hyo ni part ya office , sio starehe tena
 
Tatizo hapo kwa Tecno hata kama una Phantom x watu bado wanaleta dharau...hahahaa
Ni sahh walete dharau. Tecno wanafelu sana kwny smu zao. Huwez amini nlinunuaga tecno camon 19 wakat ndo znatoka toka( tecno nawapendea kwny utunzaji wa chaji) cha kushangaza eti nayo inaniandikia "app not responding" close app khaaa nlishangaa sana,,,,,,, wakati ukikutana na Samsung yenye RAM 3 huwez kutana na huu ushenzi
 
Nahama Samsung S23 Ultra naenda iphone 15 pro max!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…