90% ya wafanyakazi wa Serikali wanapiga soga na story maofisini. Je, tunawalipa mishahara ya bure?

Sisi wote ni wapiga stori tu. Wewe jiulize ni nani aliyepitisha miswada na sheria zote zilizoruhusu lundo na tozo kwa wananchi.

Hao viongozi wako wanatenga tsh ngapi kwa ajili ya matumizi(posho, mishahara n.k) na wanatenga tsh ngapi kwa ajili ya miradi ya maendeleo.

Kodi zote wanazokusanya zinaishia mifukoni mwa wanasiasa, wakati zahanati hazina madawa na vifaa tiba vya kutosha.

Wewe na wanasiasa wenzio ni matapeli tu, sasa "mumejiandaa kumlipa mtumishi wa umma kiinua mgongo kwa asilimia 33% , unataka afanye kazi ipi!?.
 
Binafsi ni mtumishi. Wakati wa jpm nlikuwa nafanya kazi kama.mchwa ila saiz saa5 nishamaliza narudi kulala home
 
Haya Darasa hilo hapo, na KPI hizo hapo.

Fanya MIUJIZA tuone.

Mshahara, Basic Tsh 484,000 ( Toa 3%ya Bima, 9% ya Kodi, 2% ya CWT na 3% ya PSSSF huku ukitegemea Kikokotoo Cha 33% baada ya kazi ya miaka 30)

Huna nyumba ya kukaa, umepsnga, una familia yako, Kodi ya pango ni miezi 6.

Fanya kazi Sikukuu, weekend au baada ya muda wa kazi HAKUNA MALIPO.

Narudia Tena, FANYA MUUJIZA TUONE.
 

Attachments

  • images.jpeg
    48.7 KB · Views: 2
  • IMG_20230206_165232.jpg
    319.2 KB · Views: 2
mpwayungu village ,tuwapigie debe waongezewe maslahi aisee
 
Kwahiyo wewe kichwa chako umeamua kukifanya ni dispenser ya MATE tu.

Hata kutoa maoni huwezi.
Inaitwa 'sarcasm' acha kukurupuka asubuhi yote hii ata chai hujanywa, ficha ujinga!
 
sasaivi kero inayo trend kwenye ofisi za serikali ni pale unapohitaji huduma alafu unaambiwa mtandao unasumbua tokea asubuhi. Yani hichi kitu kinanikera sana.
 
Inama nikuoneshe ujinga wako ulipo
Unaweza kua unamtukana baba ako ujue mana nimetembeza sana mjegeje enzi zangu.. unamwambia baba ako ainame? Laana ya sodoma ikushukie
 
Unaweza kua unamtukana baba ako ujue mana nimetembeza sana mjegeje enzi zangu.. unamwambia baba ako ainame? Laana ya sodoma ikushukie
Mimi nimefira sana wapuuzi Kama nyie, yawezekana ulisha chezea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…