show nyiingi za fiesta watu huwa wanakodoa macho kama wanaangalia picha za ukutani unless juma nature una perform lakini hii ya antivirus watu walikuwa wanaruka mwanzo mwisho watu wanapagawa jamani wenye vipande vingine wavi upload basi tufaidi
hawa clouds kama si wezi wa wasanii wanacholalamika nini kwani wao ndo wanahaki ya kuandaa matamasha tanzania na tutawafuta kwenye ramani hahaha na fb wamekimbia na tutaenda nchi nzima wataokaota wao c tunatupia tu kwenye nyavu zao