Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,758 Reaction score 6,299 Apr 4, 2023 #1 Hivi na nyinyi mnaona kama mimi. Pale wadada zaidi ya 95% ni warembo sana. Si wateja wala wafanyabiashara wa pale. Utafikiri wanaitana. Au mle ndani wanabadilika nini? [emoji28]
Hivi na nyinyi mnaona kama mimi. Pale wadada zaidi ya 95% ni warembo sana. Si wateja wala wafanyabiashara wa pale. Utafikiri wanaitana. Au mle ndani wanabadilika nini? [emoji28]