9BIMA YA BODA SALAMA/BIMA YA KAWAIDA

9BIMA YA BODA SALAMA/BIMA YA KAWAIDA

Joined
Nov 6, 2012
Posts
96
Reaction score
28
BODA SALAMA
BimaJanja kwa Boda Mjanja!
ACCLAVIA INSURANCE GROUP ni kampuni ya bima inapenda kuwatangazia wamiliki wote wa pikipiki bima ya boda salama.
Unakata bima kwa Tshs.56,000/= (Elfu hamsini na sita tu) ya pikipiki yako kwa mwaka mzima,yaani miezi 12 na endapo utapata ajali ndani ya muda huo na ukapata ulemavu wa kudumu basi bima itakulipa fidia ya boda boda mbili,yaani pikipiki mbili mpyaa kabisa na mkono wa pole wa Tshs.500,000/= (Laki tano tu).
Lakini endapo utaumia lakini hukupata ulemavu wa kudumu basi bima watakupa pole ya Tshs.500,000/= (Laki tano) tu kama pole.
Kama bahati mbaya umepoteza maisha kwenye ajali basi bima watawafidia familia yako kwa pikipiki mbili na mkono wa pole Tshs.500,000/=.
Pia kampuni inatoa huduma ya bima za pikipiki za kawaida kwa Tshs.59,000/= (elfu hamsini na tisa tu) kwa bima ndogo na 150,000/= kwa bima kubwa.
Kwa bima kubwa kampuni ya bima itakulipa pikipiki mpya endapo pikipiki ikiibiwa,kuungua moto au kupata ajali ambayo haitatengenezeka tena.
Ulemavu wa kudumu ni nini?
Ulemavu wa kudumu ni hali ambayo muhusika wa bima atapata ajali ambayo itapelekea kupoteza viungo vyake vya mwili,kupoteza uwezo wa kufanya kazi zake za kujipatia kipato au kupooza kutokana na ajali ya chombo husika.
Mwisho nakaribisha maswali pale ambapo hapajaeleweka.
Namba zangu zipo kwenye tangazo hapa chini piga kwa ufafanuzi zaidi.
Kama kuna kukindi,kijiwe,stendi ya boda boda mnaweza kunipigia nikaja kuwapa huduma hii.
Pia wenye bajaji,guta mnaruhusiwa kukata bima ya boda salama lakini fidia ni boda boda mbili na laki tano tu na sio vinginevyo.
Mawasiliano;
0754370202
 
Bima ya pikipiki imeisha apa... Mnapatikana wap au mnamfata mteja
 
Habari Wana jf muda sio mrefu narudi Kwa kasi na bidhaa mbalimbali za bima toka Shirika lako pendwa la National Insurance Corporation (NIC) Tanzania
 
1.Bima ya pikipiki matairi mawili;
Third party (bima ndogo).
(i)Piki Piki ya matairi mawili (matumizi binafsi tu)
Ada ya bima 50,000/=
VAT. 9,000/=
Jumla 59,000/=
2.Bima ya pikipiki matairi 3;
Ada ya bima 75,000/=
VAT. 13,000/=
Jumla 88,500/=
Nipigie simu nakufuata ulipo uwena
*Kitambulisho cha nida, au cha kupiga kura au leseni ya udereva
*Kadi ya pikipiki
* Malipo ya bima
Utaratibu;
*Tunaingiza data kwenye mfumo
*Unapewa control namba unalipia Kwa mtandao wowote wa simu
*Ukishasomeka kwenye mfumo wa bima tunaagana
Ofisini zipo posta hifadhi house unaweza kuja na Kipata huduma ofisini ghorofa ya 9 simu 0754370202 karibu
 
Bodaboda inakuaa wanawapa familia yenu pikipiki mbili...mnzikatia Bima tena zinawauua hao wawili mnapata pikipiki nne..mnazikatia Bima tena mpaka Familia yenu iishe....ni utani tu !
 
Back
Top Bottom