_“⚠️Bado Unaogopa Kupoteza PESA Zako Kwenye Uwekezaji? Hii Hapa sehemu Salama ya Kuwekeza Pesa Zako BILA Wasiwasi”_

Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
52
Mpendwa mwekezaji,

Je, umekuwa ukitafuta njia salama na yenye uhakika ya kukuza mtaji wako?
.
Kama Jibu ni Ndio, Basi Hii Hapa 👇Habari Njema Kwaajili Yako!
.
Serikali Ya Tanzania Kupitia Benki Kuu
Leo Itakuwa na Mnada wa Hatifungani ya Miaka 15 Yenye Riba Ya 14.50%
.
Hii ni sehemu Salama kabisa ya Kuwekeza
Ya Kuwekeza Pesa Zako!
.
Kwa Nini Uwekeze Kwenye Hatifungani Hii?

✅ Faida kubwa: Unapata riba ya 14.50% inayolipwa mara mbili kwa mwaka (Septemba 06 na Machi 06).

✅ Hakuna Kodi: Faida yako yote haina makato ya kodi.

✅ Uwekezaji wa Uhakika: hii Ni hatifungani ya serikali, kwahiyo ni salama na inatoa Riba ya uhakika kwa muda wa miaka 15.

✅ Fursa kwa Wote: Watanzania, diaspora na wanajumuiya ya Afrika Mashariki wanaruhusiwa kushiriki.

✅ Urahisi wa kuuza: Baada ya mnada wa awali, unaweza kuuza hatifungani yako kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).

✅ Kiwango cha Kuanza Kuwekeza: Ni TZS 1,000,000 pekee!
.
Na...Ikiwa unatamani kushiriki Kwenye mdana kama Huu na Unataka kujua zaidi? DM "HATIFUNGANI"👇 nitakuelekeza!
Uwekezaji Katika Hatifungani za serikali
 
Hio riba ya 14.50% ni kila mwaka au.

Mfano nikiweka milioni 30 September nachukua sh ngap baada ya makato
 
Tangazo la biashara limekaa vyema... Link inakurusha wasap.

Upo kwa broker gani?
 
Kuliko nifanye biashara na serikali,
Ni mara mia nijenge nyumba nipangishe, ntakula Kodi kdg kdg.
 
Hio riba ya 14.50% ni kila mwaka au.

Mfano nikiweka milioni 30 September nachukua sh ngap baada ya makato
Hizo mil 30 ukienda nje ya mji kdg ukanunua kiwanja Cha mil 10.

mil 20 inayobaki ukajenga apartment 4 za Chumba+ sebule+ choo ndani na kuzipangisha Kwa LAKI Kila apartment moja.

Ambapo Kwa mwezi zikakuingizia laki 4, Kwa miez 6 zikakuingizia mil 2.4 na Kwa mwaka unaongelea mil 4.8

Kwa aliewekeza hati fungani, mpaka anakuja kufikisha miaka 15 ya hati fungani yake kupevuka ili akarudishiwe mil 30 Yake kavu kavu,

Wewe uliyejenga apartment utakua ushaingiza mil 72 na nyumba Yako iko pale pale, na thamani yake pia ishapanda.

Nyumba uliyojenga miaka 15 iliyopita Kwa mil 20, na kiwanja mil 10. Kwa kipindi icho unaweza kuiuza Hata mil 70 na kiwanja ukauza mil 30.

Hapo tayar una Almost kiinua mgongo Cha mil 100, ukilinganisha na mwamba WA hati fungani mwenye kiinua mgongo Cha Ile ile mil. 30 yake ambayo Kwa kipindi hicho iyo pesa itakua imeshashuka Sana thamani uwezo wake kimanunuzi.
 
Milioni 20 appartment nne za chumba na sebule malawi au bongo?
 
Ni Bongo hapa hapa mkuu,
Chumba self na sebule gharama zake za ujenzi Hadi finishing hazizid mil. 5 cash.
Achana na wale wakujikweza na kutisha wenzao khs gharama za ujenzi
 
Mimi pia ni mmiliki wa appartments mzee. Niko Temboni kabisa. M5 mpaka finishing kivipi.
 
Back
Top Bottom