micaely michael
Member
- Jul 31, 2015
- 85
- 9
_baada ya mechi za kimataifa ambazo bado zinaendelea kuchezwa manchester united ikiwa katika nafasi ya 4..inatarajia kucheza na watford ugenini...draw walizozipata man city pamoja na arsenal inaifanya man utd kuwa katika nafasi nzuri ya kwenda kileleni..
_TOP FIVE YA EPL
1>Man city _pts 26
2>arsenal_pts 26
3>leicester_pts 25
4>man utd_pts 24
5¥tottenham_pts 21
_kwa takwimu hiyo man utd imepitwa point 2 na man city pamoja na arsenal huku akipitwa point 1 na leicester city..
>huku arsenal ,man city man utd wakijiweka katika nafasi nzuri, club ya chelsea na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya england bado wanaonekana kusua sua na kuendelea kupata matokeo mabovu ,huku ikiwa na kikosi kilekile kilicho ipatia ubingwa msimu wa 2014_15..kwa mtazamo wangu kulikuwa hakuna sababu yoyote ya chelsea kutokufanya vzr..kwa sababu hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika kuanzia hadi wachezaji.
NAFASI 5 ZA CHINI.
16_Chelsea pts 11
17_newcastle pts 10
18_bournmouth pts 8
19_sunderland pts 6
20_aston villa pts 5
by:micaely