sijaelewa hiyo herufi yake anamaanisha nini, sijui anasema aleikumu au wakibaru sijaelewa...
A.al3kum habari zenu wana jf.nashkuru kuwepo hapa kwa kujitambusha kwenu, pia natoa shukrani zangu kwa wanachama wote wa jf.
we mkaribishe tuu usijali sana herufi zake