Well said!Indeed we need his example of patriotic leadership taught to our schools. But not that fast, the dying and old African leaders will hate him and desire that he dies or fails.
Never, never, never... current old and dying African rulers want your kids to learn how to sing foolish praises to their failures. Beware before you send your kid to the so called government schools.
Kweli Mkuu, maana wazalendo kama huyu Bwana Mdogo ni kikwazo kwa mabeberu yanayonufaika na raslimali za Afrika.Huyo watamuua
Huyo watamuua
Huwa anafanyaga nini tangu apindue utawala wa kiraia wa nchiyo? Mm naona is like West Africa imestuck mazima.Kweli Mkuu, maana wazalendo kama huyu Bwana Mdogo ni kikwazo kwa mabeberu yanayonufaika na raslimali za Afrika.
Ungependelea West Africa iendelee kuwa exploited?Huwa anafanyaga nini tangu apindue utawala wa kiraia wa nchiyo? Mm naona is like West Africa imestuck mazima.
Ndo nimeuliza anafanyaga nini so far? Mbona anawekwa mtu kati na Urusi na hasemi kitu?;Au Urusi ni mzungu malaika?Ungependelea West Africa iendelee kuwa exploited?
Inasikitisha sana huu ndiyo ukweli,kama walivyofanya kwa Thomas SankaraHuyo watamuua
Siyo malaika lakini ana afadhali,kumbuka Africans tunaonekana kama vile hatujitambui na wala hatuna haki ya kujitambua so kama Mrusi ameonyesha nia ya kutaka kutufunulia hayo kwanini tusi-stick nae?Ndo nimeuliza anafanyaga nini so far? Mbona anawekwa mtu kati na Urusi na hasemi kitu?;Au Urusi ni mzungu malaika?