A constitution without constitutionalism? The paths of constitutional development in China

If I read it right, it's a constitution without constitutionalism.

Nianze kwa kusema kuwa ki-historia ilianza taifa kuwepo and then zikatungwa sheria ili zisaidie kutawala. na kama karl marx alivyosema kwamba kazi ya sheria ni kufichua nguvu iliyojificha ya mahusiano kati ya jamii na jamii ili kuilinda jamii husika. soma kitabu (The Social and Political Thought of Karl Marx (1968 Page No.10). Hivyo basi ni busara kusema kuwa sheria yoyote isiyoweka usawa wa majadiliano, usawa wa kisiasa, usawa katika mifumo yote ya maisha ya binadamu..basi sheria hiyo ni batili(null and void). baada ya kusema hayo, nitachangia nikijikita kwenye hoja ya constitution without constitutionalism/katiba bila katiba, Democracy, Rule of Law, katiba ya Tanzania vis-a-vis China Constitution.

Katiba ni mfumo wa serikali ambapo nguvu hutolewa na kupunguzwa na mfumo wa sheria zilizotungwa na Bunge ambapo lazima uheshimiwe na watawala. Hivyo basi sio wananchi pekee ambao wanafungwa na sheria hizo za msingi, bali hata watawala pia. kATIBA ni mama wa sheria zote, hivyo basi ni chanzo cha kikuu cha nguvu za kisiasa. (emphasis is mine). Hivyo basi tunaposema constitution withou constitutionalism, tunamaanisha katiba inayokosa vipengele muhimu vya democrasia. ie government of the people, by the people for the people. (see Lincoln definition on democracy).

Democracy means wengi wape. Ukipitia definition ya Abraham Lincoln utagundua kuwa ina mapungufu. mapungufu haya yameendelea kuwepo, so long as we're still hooked to western democracy. kwa mfano, unaposema;-

  1. government of the people...which people? what if watu hawa ni wabaguzi? what if they're cannibalistic? what if watu hawa ni hatari kwa ustawi wa binadamu wenzao? what if...?
  2. by the people...who makes these people? refer to point number 1
  3. For the people...( Refer point 1&2). Bad people creates bad leader, but not vice-versa.
vyovyote itakavyokuwa bado itaitwa democrasia kwa kuwa iko in conformity with what western countries call it democracy. Lakini jiulize, what Kind of democracy? Democracy is a big machine, it has stages of growth just like a human growth kitu ambacho Lincoln hakufikiria kabisa. Ni dhambi ku-generalize democracy, kumbe democrasia nzuri ni inayoendana na mazingira, mila, Tamaduni na utashi wa jamii. (emphasis is mine). Ni wakati mwafaka sasa tuachane na Lincoln definition na tuje na maana nyingine inayoendana na ustaarabu PLUS maarifa ya jamii husika. mambo ya one size fits all hayakubaliki...(kidding).

Katiba ya JMT ina mapungufu mengi, henceforth makes it unconstitutional. kwa mfano, Ibara ya 41(7) ya katiba husika inasema "When a candidate is declared by the Electoral Commission to have been duly elected in accordance with this Article, then no court of law shall have any jurisdiction to inquire into the election of that candidate". Hiki kifungu kinakinzana na Ibara ya 107A na 107B kwa pamoja...ya katiba hiyo hiyo. Kwanza nashangaa kwa nini wanaharakati through (PIL-Public interest Litigation) hawajaenda mahakamani kupinga hilo. kuna vipengele vingi vinafanya katiba ya JMT kuwa unconstitutional...NGOJA niishie kwenye kifungu hicho.

Rule of Law: Kuna theories nyingi kuhusu utawala wa sheria, yaani rule of law. Kuna falsafa ya kisheria kuwa watu wote ni sawa mbele ya sheria. kama mwanafalsafa Dicey alivyosema kuwa utawala wa sheria ni vipengele muhimu zaidi vya mifumo ya kisasa ya kisheria. Haijalishi uko juu namna gani, sheria iko juu yako. Hakuna mwanadamu yeyote aliyeko juu ya sheria. Je wote tuko sawa mbele ya sheria? The answer is No. Ibara ya 46(1) ya katiba ya JMT inamlinda Rais kutoshitakiwa. Tanzania ili-sign mkataba wa Vienna Convention on Diplomatic Relations of 1961, ambapo Diplomats wote na familia zao wana Kinga ya kutoshitakiwa...still feeling equal before the law? think again! Revisit the case of State of Romania (HC) of Tanzania, 1994.

Nimalizie kwa kusema kuwa Author wa hiyo article ameongelea enforcement ya katiba ya china kwa perception ya western. Hapo lazima tuone utofauti sana. Hata hivyo, mpaka wa democrasia na u-dictator ni mwembamba sana. check and balance on democracy ni aina mpya ya global dictatorship. Tunahitaji katiba mpya iliyostarabika, kutoka kwa watu wastaarabu. very unfortunate, hatuna Legislature wenye viwango hivyo. maybe waheshimiwa hawa Malcom Lumumba,na Pascal Mayalla wanaweza saidia hapa.

Cheers, Prof
 
Mkuu Prof nimesoma hili bandiko hadi nimejisikia fahari.
Mimi sina cha kuongezea maana umechambua kwa undani sana kutumia falsafa ya sheria.
Hongere sana sanaa mkuu!!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…