Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache.
Ni mrembo haswa na ana self confidence, hiyo ni advantage ya kukulia familia ya kishua, tuliosomea St. Kayumba na shule za Kata self confidence kwetu ni changamoto. Sababu iliyofanya tuachane nilishaona mapenzi yashaanza kuisha hapa, mawasiliano kati yetu yalianza kupungua ilikua kama nalazimisha tuwe pamoja. Binafsi hua nina kakiburi kiasi nikamfuata na kumueleza aisee hapa nahisi hakuna mapenzi tena nadhani ni busara kila mtu aendelee na maisha yake. Waswahili wanasema "Heri nusu shari kuliko shari kamili". Nilikua nampenda sana ila haina budi kufanya hivyo. Baada ya hapo mawasiliano yalikua kama ya watu wa kawaida tu na si wapenzi tena kwa nadra sana.
Kwa sasa tunaishi mkoa mmoja, sasa basi wiki mbili zilizopita jioni moja tulipanga tuonane for a coffee date or something. Nikafika ofisini kwake alikua kabaki mwenyewe baada ya salamu nikamwambia funga ofisi twende sehemu yoyote, sikua nimepanga wapi pa kwenda ila kwa kua ni mjini najua migahawa ya kutosha. Akaniuliza tunaenda wapi, nikajibu twende tu katikati ya mji kuna coffee shops nzuri tu, kwa wakazi wa Arusha wanafahamu hili.
Akaniambia kabla hatujaenda akaniambia tupitie sehemu kuna mtu anamuona halafu ndio twende tunapoenda. Nikataka kujua huyo unayetaka kwenda kumuona ni nani?. Akajibu ni her boyfriend so atanotice something is not okay kama asipopitia hapo. Nilibaki nakodoa macho tu
Akauliza kwa hiyo tatizo ni kukuambia ukweli nani naenda kumuona, nilichojibu "Issue sio kuniambia ukweli, tatizo ni kuhusu respect, you disrespected me kwa kwanza kwa kufikiria naweza kukusindikiza kwa bf wako, pili I won't forgive myself endapo nitafanya huo ujinga". Baada ya hapo nikanyanyuka na kutoka kuelekea nyumbani, na huo ukawa mwisho wa date yetu. Baada ya hapo akatuma texts kuomba msamaha kua hakua amefikiria vyema, nilichojibu ni sawa yameisha ila sidhani kama ni busara kwa mimi na yeye kuonana tena.
Ingawa nilikaza na kuondoka ila moyo ulikua unataka kuonana nae.