A crazy story na mpenzi wangu wa Chuo

Sawa zee la misimamo....ujinga mtupu
 
Nilivyosoma title nkajua kutakuwa na happy ending😑
Nilipigwa na kitu kizito utosini πŸ˜€πŸ˜€
Ingekua happy ending ingekua kule kwenye uzi wa Tunda la kimasikhara
 
Mtoa post alitegemea kupewa support badala yake mnamgeuka pamoja na kinglishi chake
Wameamua kunisagia kunguni mkuu ingawa ndio ukubwa lazima ukubali kukosolewa
 
Sema nini sio mbaya huo ndio uhuni wenyewe'

Ila kali zaid ungefanya kumkubalia halaf ukitoa huko ukampeleka sehemu unayohisi lazima angerudisha stori za mapenz then ukamnyandua kisawasawa fala huyo
 
Sema nini sio mbaya huo ndio uhuni wenyewe'

Ila kali zaid ungefanya kumkubalia halaf ukitoa huko ukampeleka sehemu unayohisi lazima angerudisha stori za mapenz then ukamnyandua kisawasawa fala huyo
Bahati mbaya siku hiyo sikua na mawazo ya kula tunda kabisa, nilitegemea ingekua ni meeting ya kawaida tu.
 
Mkuu umeyumba sana yani ungeenda nae tuu then unamsubilia mpaka amalize kuonananea sasa ulivyo kataa manzi atajua bado unampenda pia unateseka juu yake yani umepuyanga sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…