A crazy story na mpenzi wangu wa Chuo

Sio mkorofi bali kiburi kinakupa ku-over do mambo
Kuna muda you have to walk away from anything that gives you bad energy. Kwa pale I was right kwako inaweza isiwe na mantiki ila kwangu ni sawa, ni binadamu tunatofautiana. Hakuna formula standard ya kudeal na issue kama hizi sio kama Pi kua siku zote hua Pi = 3.14 😊😊
 
Hahahaha tulikua tunasali na kuimba mapambio tπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚na sahivi baaad ya kwenda Church mnaenda mnafanya coffee datπŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kitendo ulichokifanya kinaonesha bado unampenda huyo bi mkubwa, na pengine ulikuwa na mipango yako 😊...otherwise ungelikuwa si mtu wa kujali ungepuuzia tu na kufocus na hiyo date yenu as long as ilikuwa ni kupata coffee and just coffee...😁😁
 
We sasa ndo hujui!!
Ungemsindikiza aage af ungemla vile vile.

Kuna vitu out of nothing , vinanyanyua tu vinyweleo vya kike.
Ila ndo bas tena
 
.........coffee or something
 
Hichi ndicho kitu mleta mada alipaswa kufanya
 
Mleta mada huyo binti si ni Ex wako?
Kama ni Ex ulitarajia nini yani asimwambie kama ana BF mwingine au?

Ungekaza roho, unge-play role ileile ya u-Ex umgemsindikiza mngeenda Date na ungemkula...

Simple no stress no verse.

Btw nlipokuwa chuo nilikua na kisa kama hiki lakini kina tofauti kidogo
Nlikua na binti mmoja tulidate tukaachana, ila tukawa marafiki
Ktk urafiki kuna jamaa alikua akimtongoza nilipokua nadate nae, na dem alikua akikaza muda wote ila tulipoachana binti akamkubalia jamaa, nami nikaendelea na chombo kingine nae akijua na kumjua vizuri tu ila urafiki wetu mimi na yeye haukufa

Tukawa tunatoka pamoja kirafiki tu, class pamoja (mara mojamoja), tunapiga picha pamoja na kula pamoja.
Wakati mwingine usiku tunakuwa pamoja na jamaa anapiga Video call anapokea anamwambia asubiri na wakati mwingine anazungumza nae mbele yangu kiufupi, na kumla nilikua namla na sometimes nachomeka mb** akiwa anaongea na huyo jamaa yake mpaka anakata mwenyewe.
 
Something kwa mleta mada ataisikia tu...ana makasiriko ya kivietenam sana 😁
Kwamba anafanya sisi wengine hatuna selfu respekti?
Mxxxxxxxxxiiiieeeee
Something ataichora chini, kenge bukini huyu!!
 
Mwandiko mzurii
 
Mi nakupongeza mhenga mwenzangu
Unaanzaje kumsindikiza X Kwa boyfriend wake
Huo si ujinga wa PhD kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…