Kwa hiyo hiyo level ya enlightment ukifika ndo unakuwaje? Na je kuna wengine waliofika hiyo level tofauti na huyo mkuu???
Utawezaje kuamini katika nafsi then uabudu miungu? Kind of confusing
South Africa chuo kiko mji mdogo unaoitwa bronkohorspruit njia ya kwenda witbank ikitokea Pretoria, kinaitwa Nanhua temple
Watu wanaabudu sanamu (China,India) lakin bado Mungu wetu amewabariki wao kuliko sisi ngozi nyeusi tunaojifanya tunaijua sana dini (kuna wanaomlilia Mungu na wanaojitoa mhanga kwa ajili ya Mungu)! Mambo ya dini wakati mwingine ni kizungumkuti.Philosophy ya Buddhism ni kuamini katika nafsi(self) na final goal ni kufikia level ya enlightenment, level aliyofikia Buddha mkuu Sakyamuni Buddha
Lakini kiukweli Buddhism ni dini ya kuabudu miungu na masanamu
Umewaacha wengi ubungo mataa
Unamaanisha meditation? Maisha yetu chuoni yalijaa meditation lakini ile ya kukaa kimya kwenye lotus posture (yenye maumivu mengi sana) ilikuwa ni dk 50 kila siku lakini pia tulikuwa na meditation retreats za siku 3,5 na 7
Ina maana levitation hamkufundishwa? Levitation ni uwezo wa kutawala gravitational forces na kuelea juu ya maji nahisi chuo chenu kilikuwa fake pole sana
Useja ulinishinda
Ordination pia nafsi yangu ilikataa
Ina maana levitation hamkufundishwa? Levitation ni uwezo wa kutawala gravitational forces na kuelea juu ya maji nahisi chuo chenu kilikuwa fake pole sana
Mkuu mshana jr Kama Imani yao ipo kwenye self being kuna kinzana nn na wenye imani ya Mungu mkuu???!
Mkuu unaweza kuzungumzia nguvu ya Chi??..
Unaweza kufanyaje kupata Chi energy !!?,je ni spiritual energy Au vital energy??
Mimi sio Buddhist kwasasa kwa taarifa za kina fika Mindu street upanga ni karibu na Muhimbili hapo utapata full package