A day in the Buddhist college

Elimu hii adimu huipati darasani una madini afu hatuyatumii jamanii
Kila jambo na wakati wake... Ukifika umefika... Ila kama haujafika jambo haliwezi kuwa... Tuombeane kheri
 
Dah hii topic nliitafta sana, nmesoma yoote,asante Mshana napenda kujfunza mambo mengi yaliyofchwafchwa dah , naomba unitag kweny Uzi wako wa zmebaki story
 
Dah hii topic nliitafta sana, nmesoma yoote,asante Mshana napenda kujfunza mambo mengi yaliyofchwafchwa dah , naomba unitag kweny Uzi wako wa zmebaki story
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hahahaaa! Those days in black rob kila Jumapili, i miss chanting na kupiga 'linku'. Anyway!, ni kweli, kuna Chinese wamepata eneo maeneo ya Salasala. Wana project kubwa ya kujenga Buddhist temple na chuo cha kufundisha Buddhisim. Ni mchepuo wa 'Mahayana' kama pale Bronkhorstspruit, South Africa. Ila habari njema zaidi ni kwamba wana center yao old Bagamoyo road, karibu na Nyerere house, nxt to Baraka house. Hapo kwenye hiyo center wanatoa huduma mbalimbali na service au ibada za kila Jumapili. Kwa sasa nipo Mbeya, ila nadhani Mkuu Mshana Jr anaweza fika pale Old Bagamoyo Road 'ku-chant' na akaja na habari chanya zaidi.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] memories die hard... Siku hizi niko Msata kilingeni nimejikita zaidi kwenye ushirikina... Yaani utafiti na kutoa elimu... Ila nipatapo sitaacha kwenda

Jr[emoji769]
 
Hujachelewa mkuu. Kwenye Buddhism tunaamini kwenye 'causes' na 'conditions'. Ndiyo maana Shakyamuni Buddha akatufundisha kwamba 'Buddhisim is not for everybody'. Hivyo basi you are just on time.
 
CC : Zurri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…