umentosa mie ukaenda ku-meet na my huz, n-way usijali ameniwakilisha. kwani ukionana na C6 umeonana na charminglady na pia ukionana na charminglady umeonana na C6. lakin nausubiri ujio wako as u promised. . .
An un attended kiporo...u know wea.
Haya sasa uje useme una gundu mara siwezi kupenda tena nimeumizwa mara ooooh watu hata hawanitukani................Mchumba huyo changamka
Asante mkiva......................utanipendaje?
Elizabeth Dominic unaona soko lako limepanda sasa ivi sio uanze kunilalamikia huapti mwanaume wa kueleweka, hawa hapa sasa wameshaanza kutangaza nia hehehhehehehheheh
Lovely sister umeona eeh?
Mwenye macho haambiwi tazama ujue!
Tukutane baadae kwa maelezo zaidi!
platozoom..........................mchumba gani?Haya sasa uje useme una gundu mara siwezi kupenda tena nimeumizwa mara ooooh watu hata hawanitukani................Mchumba huyo changamka
charminglady si umemsoma mwenyewe mi sikupanga kukutana naye lakini imetokea tu.................lakini mpango mzima ulikuwa kukutana charminglady..................am i in trouble?
Wewe ndie uliyeiba wale twiga wetu eeh?
Kumbe upo?.... Bishanga alinambia eti umejitoa jf kisa ummu kulthum kakutosa!
Unachochea mgogoro unaofukuta chini kwa chini..................yani mi sikutaka kabisa kumrusha roho shosti angu
Ndio maana unaumizwa maandishi huwezi kusoma hata picha?
wananiita late bloomer maana hadi sasa sijaona chochote concrete labda unisaidie wewe
inabidi tu-meet ili tuliweke sawa. . .
wivu sina ila roho yaniuma!
Ngoja kwanza niandae INVOICE
Tatizo huyu mumewe hana siri lol
jamani MENTION Madame B charminglady MENTION nisaidieni nisimkose MENTION elizabeth nampenda sana nisaidieni kupiga pande
inabidi tu-meet ili tuliweke sawa. . .