Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
A reason why the project launch failed!Wazee wa fursa hao. Penye kila mradi kama huo, lazima jamaa wapige hela, tena ndefu.
Kweli kabisa kama ile miradi mikubwa ya umwagiliaji iliyofisadiwa pale kenya au lile daraja lililojengwa chini ya kiwango kutokana na ufisadi alafu likabomoka baada ya kuzinduliwa