Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwani hawajui pesa ilipo, mbona wanahangaika kusikolipa.Tuwaache nao wajipatie chcht kitu cha kulipa wafanyakazi wao na kuendesha media zao π
Kuna njia moja tu kuwafanya hawa wana propaganda za uongo wapelekwe mahakamani na kudaiwa mabilioni hivyo watakoma kama alivyonyooshwa MusibaIla hivi vyombo vya habari bhana kuna muda wanatumika mchana kweupe!
Yani kuisoma hii habari ilio chapishwa na AFM na C FM zote ni za Dodoma unaona ni propaganda kabisa
Kuna mtu mmoja kawapa habari hiyo waichapishe nawao kwa sababu ya njaa zao wameruka nayo. Dah safari bado ni ndefu sana kwenye media zetu hapa nchini
Je ingekuwa tetesi hizi zinaigusa CCM wangeifanya na kuipelekeka hewani?
==============
UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umeanza kuvurugana, baada ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, John Heche, kudaiwa kutafuna mamilioni ya michango wanayokusanya kutoka kwa wadau.
Chama hicho, kimekuwa kikikusanya fedha kutoka kwa wanachama wake na wadau mbalimbali, taarifa kutoka chanzo cha kuaminika, zinadai sehemu ya fedha hizo zinaishia mifukoni mwa viongozi.
Hayo yamebainika juzi katika kikao cha viongozi wa chama hicho βRetreatβ kilichofanyika mkoani Kigoma na kuhusisha wajumbe wote wa Kamati Kuu.
Chanzo hicho kutoka miongoni mwa wajumbe walioshiriki kikao hicho, kinadai Mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema, ndiye aliyeanza kufichua mambo, baada ya kueleza Heche alipewa mchango wa Shilingi milioni 60 na mdau kwa ajili ya chama hicho, lakini hakuwasilisha hata senti moja.
Mambo yalikwenda mbali zaidi, hadi Lema alipomtaka Heche abishe hadharani kama hakuwahi kupokea kiasi hicho cha fedha. Katika utetezi wake, Heche amedai alidhani fedha hizo anazopewa ni kwa ajili yake binafsi.
Haikuishia hapo, chanzo hicho kinadai, kinasema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, naye alisema Heche amekula Shilingi milioni 10.
Inadaiwa katika maelezo yake ndani ya kikao hicho, Sugu alisema alimpeleka Heche kukutana na mmoja wa wadau wao kwa ajili ya kupokea mchango wa ujenzi wa chama, cha kushangaza fedha zote hizo hazikufikishwa kwenye chama, zikaishia mifukoni mwa Heche.
Ikumbukwe kuwa, viongozi hao wa Chadema akiwemo Heche, ndiyo wanaosimama majukwaani wakiomba wapewe nafasi ya kuliongoza Taifa kwa ahadi kuwa watasimamia fedha za umma, ilhali usimamizi wa vijisenti vya chama umewashinda.
Huo ni uthibitisho tosha kuwa, Chadema imejaa viongozi wanaofanya kila jambo kwa maslahi yao binafsi, wanajenga kila ushawishi kuwaumiza wananchi ili kujinufaisha na wanatafuta huruma ya umma, ili kukusanya fedha za kunufaisha familia zao.
Mwisho wa kikao hicho, inadaiwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika alimkingia kifua Heche, huku akionya kuwa, vitendo hivyo si vizuri kufanywa na viongozi.
View attachment 3621822View attachment 3621826
Sio kirahis hivo waliowatuma ndiyo watakao toa hukumuKuna njia moja tu kuwafanya hawa wana propaganda za uongo wapelekwe mahakamani na kudaiwa mabilioni hivyo watakoma kama alivyonyooshwa Musiba
kama heche atashindwa tena kwenda kuilipia Crown yake TRA iliyomshinda wakati ule analia gharama ni kubwa, basi itaozea bandari, maana muda wa yeye kutusua pesa bwerere ndio huu.Ila hivi vyombo vya habari bhana kuna muda wanatumika mchana kweupe!
Yani kuisoma hii habari ilio chapishwa na AFM na C FM zote ni za Dodoma unaona ni propaganda kabisa
Kuna mtu mmoja kawapa habari hiyo waichapishe nawao kwa sababu ya njaa zao wameruka nayo. Dah safari bado ni ndefu sana kwenye media zetu hapa nchini
Je ingekuwa tetesi hizi zinaigusa CCM wangeifanya na kuipelekeka hewani?
==============
UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umeanza kuvurugana, baada ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, John Heche, kudaiwa kutafuna mamilioni ya michango wanayokusanya kutoka kwa wadau.
Chama hicho, kimekuwa kikikusanya fedha kutoka kwa wanachama wake na wadau mbalimbali, taarifa kutoka chanzo cha kuaminika, zinadai sehemu ya fedha hizo zinaishia mifukoni mwa viongozi.
Hayo yamebainika juzi katika kikao cha viongozi wa chama hicho βRetreatβ kilichofanyika mkoani Kigoma na kuhusisha wajumbe wote wa Kamati Kuu.
Chanzo hicho kutoka miongoni mwa wajumbe walioshiriki kikao hicho, kinadai Mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema, ndiye aliyeanza kufichua mambo, baada ya kueleza Heche alipewa mchango wa Shilingi milioni 60 na mdau kwa ajili ya chama hicho, lakini hakuwasilisha hata senti moja.
Mambo yalikwenda mbali zaidi, hadi Lema alipomtaka Heche abishe hadharani kama hakuwahi kupokea kiasi hicho cha fedha. Katika utetezi wake, Heche amedai alidhani fedha hizo anazopewa ni kwa ajili yake binafsi.
Haikuishia hapo, chanzo hicho kinadai, kinasema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, naye alisema Heche amekula Shilingi milioni 10.
Inadaiwa katika maelezo yake ndani ya kikao hicho, Sugu alisema alimpeleka Heche kukutana na mmoja wa wadau wao kwa ajili ya kupokea mchango wa ujenzi wa chama, cha kushangaza fedha zote hizo hazikufikishwa kwenye chama, zikaishia mifukoni mwa Heche.
Ikumbukwe kuwa, viongozi hao wa Chadema akiwemo Heche, ndiyo wanaosimama majukwaani wakiomba wapewe nafasi ya kuliongoza Taifa kwa ahadi kuwa watasimamia fedha za umma, ilhali usimamizi wa vijisenti vya chama umewashinda.
Huo ni uthibitisho tosha kuwa, Chadema imejaa viongozi wanaofanya kila jambo kwa maslahi yao binafsi, wanajenga kila ushawishi kuwaumiza wananchi ili kujinufaisha na wanatafuta huruma ya umma, ili kukusanya fedha za kunufaisha familia zao.
Mwisho wa kikao hicho, inadaiwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika alimkingia kifua Heche, huku akionya kuwa, vitendo hivyo si vizuri kufanywa na viongozi.
View attachment 3621822View attachment 3621826
Hivi wewe tahira wazazi wako bado wapo hai?kama heche atashindwa tena kwenda kuilipia Crown yake TRA iliyomshinda wakati ule analia gharama ni kubwa, basi itaozea bandari, maana muda wa yeye kutusua pesa bwerere ndio huu.
Na kama ni uzushi, watu wawe wastahilivu na wenye subra tu, masuala ya fedha hayanaga tetesi na wala hayafichikagi.
Lazima watavurugana tu, kwasababu haiwezekani michango ikusanywe hadharani halafu matumizi yafanyike sirini kwa kificho π
Gentleman,Hivi wewe tahira wazazi wako bado wapo hai?
Mashoga na mapumbavu ya ccm hayana nafasi yoyote kwenye hii Dunia kwa sasakama heche atashindwa tena kwenda kuilipia Crown yake TRA iliyomshinda wakati ule analia gharama ni kubwa, basi itaozea bandari, maana muda wa yeye kutusua pesa bwerere ndio huu.
Na kama ni uzushi, watu wawe wastahilivu na wenye subra tu, masuala ya fedha hayanaga tetesi na wala hayafichikagi.
Lazima watavurugana tu, kwasababu haiwezekani michango ikusanywe hadharani halafu matumizi yafanyike sirini kwa kificho π
Mashoga na mapumbavu ya ccm hayana nafasi yoyote kwenye hii Dunia ya sasaGentleman,
itapendeza zaidi ukijita kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka wala mihemko nonsense dhidi ya comment za wadau π
Labla huko chadema ndo content ipoKwani hawajui pesa ilipo, mbona wanahangaika kusikolipa.
Hawawezi kumsifu Samia Suluhu Hassan, badala ya kuhangaika na CHADEMA?
Jinsi taarifa ilivyokaa ni kama wanawapigia kampeni CHADEMA!
Umeulizwa Wewe Tahira wazazi wako bado wapo hai? Jibu swali PUNGUZA kukata viunooo. Au acha kabisaGentleman,