A FM na C FM waripoti, Mamilioni ya fedha za michango yazua mzozo CHADEMA. Wameamua kutumika kwenye siasa chafu?

dah,
tuhuma ni nzito sana dhidi ya heche, na ngoma ni kali mno imeimbwa kwa hisia na maishairi ya mepangwa vema huku ujumbe ukiwa wa kweli na mzito sana kwa wahusika,

well done our Tanzanian artists 👊
 
Sorry kwani ni KODI na TOZO za wananchi?
Nikijibiwa hapa nitachangia mada.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ndo nini hata kueleza unaeleza utumbo
 
Umesikia mwandambo hukuo unaleta humu
 
Iinamilikuwa na kada wa CCM. Wanadhani wakifanya hivyo watainusuru CCM.
 
Acheni uzushi,kwani mnafikiri hapo ni cha ubwabwa?
 
Watoa taarifa wenyewe ni chawa wa ccm,hapo hamna kitu,ila uzushi
 
Sorry kwani ni KODI na TOZO za wananchi?
Nikijibiwa hapa nitachangia mada.
Kazi ni kipimo cha utu
Kama hela za chama chenu mnazifuja mkikabidhiwa hazina si itakuwa majanga? Charity begins at home.
 
Ni kweli au sio kweli !!
ngoja tuvute subra kwanza tone tone isije kuleta mvua 👈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…