A FM na C FM waripoti, Mamilioni ya fedha za michango yazua mzozo CHADEMA. Wameamua kutumika kwenye siasa chafu?

Sio kirahis hivo waliowatuma ndiyo watakao toa hukumu
Kesi ya nyani unampelekea ngedere

Musiba ilikuwa vile maana godfaza wake hakuwepo wazee wa kuhukumu waka dance according to beat lililokuwepo kwa wakati tuliopo
Hizi zinabaki kwenye record hata miaka 10 mbele watakuja kushtakiwa na kulipa
 
Kupitia haka kakipeperushi nimejua rasmi Yericko Nyerere anatumwa na nani na anawafanyia kazi akina nani.

Yaani mmeshindwa hata kuwa smart mtoe propaganda zenye tija mnaibuka na ujinga mtupu.
 
Hakunaga siri ya watu 2, kama pesa zimeliwa ukweli utajulikana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…