A Friend Like You(TO ALL JAMIIFORUMS MEMBERS)

Mkuu nakubaliana na wewe
Ni elfu kwa mmoja
Wengi ni wanafiki sana

Hivi mnafiki ni nani sasa, mbona wengi hutuhumu upande wa pili sana?? Anyways......ila kumbukeni kuwa mtu kutokuwa rafiki 'MZURI KWAKO' sio lazima awe mnafiki, kwa sababu mtu anaeza asiwe mnafiki na bado usipatane nae!!
 
be verycareful

people do change, mtaja umwa na mbwa wenu wenyewe.

Pamoja na marafiki kadhaa nilionao, kila mmoja ni for a specific reason.
 
.......nimeipenda sana hii.ahsante
 
Hivi mnafiki ni nani sasa, mbona wengi hutuhumu upande wa pili sana?? Anyways......ila kumbukeni kuwa mtu kutokuwa rafiki 'MZURI KWAKO' sio lazima awe mnafiki, kwa sababu mtu anaeza asiwe mnafiki na bado usipatane nae!!

Mnafiki ni mtu anayepretend anayefanya mambo kukufurahisha na aliye na wewe kimwili tuu ila moyoni mwake hakuna chembe ya upendo kwako
Ukikpata lolote hutamuona na mtu ambaye yuko tayari kukaa na kuyaongea mambo yako ambayo ulimweleza hata kama ni matatizo
hayuko upande wako kikweli na wala kama ni rafiki hayuko na wewe
Waweza kumfanyia mema mengi sana ila at the end unachopata ni lawama tuu
Aweza kuwa rafiki yako au hata ndugu yako
Pia ni mtu anayekuombea kila siku urudi nyuma au mambo yako yasiende
Sasa mtu kama huyo utamweka kwenye kundi gani
Mtu kama huyo ni rafiki kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…